Archive | September 2015

KAMA VIPI,,,

Ishu ya mgomo w waalimu humu nchini kenya ishakuwa tatizo kubwa hata wengine hatuelewi hatma yake gani,,, Hivi wanafunzi haswa watahiniwa wa haki gani sasa?? Kwa wazo lako unahisi wanafaa kufanya mitihani yao ya mwisho wa mwaka??

Advertisements