Archive | October 2015

Land of the free.

Source: Land of the free.

Advertisements

Msanii mwingine kutoka Kenya kamshirikisha Diamond Platnumz kwenye muziki wake..

Diamond Platnumz ni msanii wa Tanzania mwenye sifa zake kwenye muziki. Baaada ya kupiga collabo ya Prokoto amabamo Ommy Dimpoz yumo, alisita kufanya kazi na wasanii wa Afrika Mashariki na kujikita zaidi na wasanii wa Afrika Kusini, Nigeria na pia Marekani. Msanii wa kike wa Kenya kwa jina la Esther Akothe aka AKOTHEE, amefanikiwa kumpa collabo Diamod wimbo unaorekodiwa ndani ya studio za WCB, Wasafi Classic12033189_964200813647539_5336874989264093516_nAKOTHE NA DIAMOND STUDIONI, WAKIREKODI.

Hii nayo ni collabo yake ya pili tangu alipomshirikisha mkali Mr. Flavor wa Nigeria,”Shengerere mama”iliofanywa na God Father ya Afrika Kusini.12042664_964200770314210_2861085196419878386_n

Mkali wa kibao PROKOTO, TOTO na kingine kipya CHUKUA HATUA, VIctoria Kimani ambaye ni Mkenya japo yuko Nigeria kwa shughuli za kimziki

Victoria Kimani anadai kuwa hapati sapoti ya kutosha kwa mashabiki wake wa nyumbani Kenya kama anavyofagiliwa pande za Nigeria. Kupitia akaunti yake ya instagram amezungumza yote yanayomkera kwa washikaji wake wa Kenya na upendo anaopokezwa Nigeria kwani ngoma zake zinapewa muda wa kucheza kwenye vituo vya Radio,Runinga pia na kuandikwa kwa mablog nchini humo jambo linalompa motisha na kujihisi kuwa nyumbani.Kimani 4