Mkali wa kibao PROKOTO, TOTO na kingine kipya CHUKUA HATUA, VIctoria Kimani ambaye ni Mkenya japo yuko Nigeria kwa shughuli za kimziki

Victoria Kimani anadai kuwa hapati sapoti ya kutosha kwa mashabiki wake wa nyumbani Kenya kama anavyofagiliwa pande za Nigeria. Kupitia akaunti yake ya instagram amezungumza yote yanayomkera kwa washikaji wake wa Kenya na upendo anaopokezwa Nigeria kwani ngoma zake zinapewa muda wa kucheza kwenye vituo vya Radio,Runinga pia na kuandikwa kwa mablog nchini humo jambo linalompa motisha na kujihisi kuwa nyumbani.Kimani 4

Advertisements

One thought on “Mkali wa kibao PROKOTO, TOTO na kingine kipya CHUKUA HATUA, VIctoria Kimani ambaye ni Mkenya japo yuko Nigeria kwa shughuli za kimziki

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s